hohohoo hohoo hoho {x2}
Verse 1:
hohohoo hohoo hoho {x2}
Verse 1:
salamu ulizo nitumia anh
zimenifikia
nipo salama hata usijali
nalishwa vitamu
vinono najilia
biliyani yangamia
penzi twa dalikana poo kidali
Bridge:
nimekusahau nakumbuka tuu lako jina
kidogo angaluu
umengoa mizizi sio kukatashina
penzi wakapanda dau anh
mimi ukanidharau
nando uwezo wangu ulipo ishia
ningekupa nini tena
kula yangu yakupapasia {hukumweza ukaatema}
mimi sina gali
ningekupa nini tena (ooohoohoo)
{hukumweza ukaatema}eeeheeehee
Chorus:
nadekeee nadekezwa nadekee nadekezwa {x12}
Verse 2:
yanimashamu shama mtoto kanikabiri
hadi na come come kuminambili arufajiri
na nishamvesha nyota cheochake kikubwa cha mapenzi
kanijaza kanichota kanishika pabayaa
nakutadharisha simu zausiku punguza
unahatarisha penzi langu moto kuunguza
Bridge:
nishakusahau nakumbuka tuu lako jina
kidogo angaluu
umengoa mizizI sio kukatashina
penzi wakapanda dau anh
mjini baba pesa fitina
mimi ukanidharau
visenti haba mfuko umechina
nando uwezo wangu ulipo ishia
ningekupa nini tena
kula yangu yakupapasia {hukumweza ukaatema}
mimi sina gali
ningekupa nini tena (ooohoohoo)
{hukumweza ukaatema}eeeheeehee
Chorus:
nadekeee nadekezwa nadekee nadekezwa {x12}
initial :
ohohhohh
Mais de sanderlei.com.br
Blogs
Blogs by Sanderlei
LETRAS: Devagarinho - Luísa Sonza
, LYRICS: Flaca - Nanpa Básico
, POESIA e muito mais...